Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Cha kushangaza Mkuu mishahara ya Wafanyakazi haijapanda kwa miaka sita sasa, wakulima wanalia, Wafanyabishara wanalia gharama za maisha hazishikiki kila kitu bei juu sasa Watanzania waongezewe mzigo mwingine wa “mchango wa elimu” kama ni hiari basi watakaotoa mchango huo hawatafika hata 5% ya Wazazi nchi nzima lakini mwisho itakuwa toa mchango au mwanao asitie mguu shuleni.
Lazima wanaanza kwa upole,
 
1623119511692.jpeg
 
Back
Top Bottom