Hili ni kundi la kifo," alisema kocha wa Ujerumani Joachim Low, ambaye atang'atuka baada ya michuano hiyo.
Haya ni mashindano ya pili ambapo bingwa wa kombe la dunia anakutana na bingwa wa Ulaya kwneye hatua za makundi, ilikuwa hivyo katika michuano ya Euro 1992, Uholanzi ilipokutana na Ujerumani.
Group A: Italy, Switzerland, Turkey, Wales
Group B: Belgium, Russia, Denmark, Finland
Group C: Ukraine, Netherlands, Austria, North Macedonia
Group D: England, Croatia, Czech Republic, Scotland
Group E: Spain, Poland, Sweden, Slovakia
Group F: Germany, France, Portugal, Hungary