The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
๐คunasema kweli.?Kusaidia katika UzaziMapera yana madini yaitwayo Folate ambayo husaidia katika kurutubisha mayai ya uzazi..
AaminUsiku uwe mwema kwetu wote..
SawasawaZIFUATAZO NI FAIDA KUMI ZA MAPERA.1. Utajiri wa Vitamin C:Mapera ya utajiri mkubwa wa Vitamin C ambayo ni muhimu sana katika mwili wa mwanadamu.
AiseeKuusadia mwili na akili katika ku-relax
Mapeara yana utajiri mkubwa wa madini ya magnesium ambayo hufanya kazi ya kuvifanya akili na mwili wa mwanadamu viweze ku relax. Unashauriwa kutumia mapera baada ya kazi nzito. Hii itasaidia katika kuufanya mwili na akili yako kupumzika
Aisee...safi sanaChai ya majani ya mpera imefahamika kutibu kansa na 'prostrate' kwa wanaume.
10. Chai hii inasaidia kwa wanaume wenye tatizo la kuzalisha (Infertility).
Tulip flower will be the best, nimeliona leo nikalitamani
wataalamu hao๐คunasema kweli.?
Mwezi wa 4 niliyapata mengi sana kila siku linaiva moja baada ya jingine, basi nyumba nizma inanukia maperawataalamu hao
๐I love Tulip ๐ท flower. The flower will be there very shortly ๐ท๐ท๐ท
๐๐๐๐๐๐umenikumbusha mbali. mapera yasome tu shughuli yake ukiyala mengi kule msalani si ndogoMwezi wa 4 niliyapata mengi sana kila siku linaiva moja baada ya jingine, basi nyumba nizma inanukia mapera
๐๐๐๐Mie nilikuwa naita watotoo nawapa, mengine nilitengeneza juisi๐๐๐๐๐๐umenikumbusha mbali. mapera yasome tu shughuli yake ukiyala mengi kule msalani si ndogo
๐๐๐๐Mie nilikuwa naita watotoo nawapa, mengine nilitengeneza juisi
๐