Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1620303802203.jpg
 
Ombi lenu limesikilizwa, limekubaliwa.
Semeni lingine
 
Badilisha mafuta ya injini

Mtu yoyote mwenye gari anajua kwamba kubadilisha mafuta ya injini ni muhimu; inachangia sana kudumu kwa injini.

Faida za kubadilisha mafuta ya injini ni:

Inapungusa msuguano kati ya vifaa tofauti vya gari.
Inanyonya joto linalotolewa na injini
Inapunguza kutu
 
Tunza mfumo wa kuhifadhi baridi

Kwa nchi yenye joto kama Tanzania, mfumo wa kuhifadhi baridi ni muhimu sana kupunguza joto kwenye injini na vifaa vingine.

Hakikisha una:

Una fanya chunguzi wa mfumo huo injini ikiwa baridi, tu!
Tumia maji ya kupunguza joto ya gari yako, yaliopendekezwa.
Changa maji ya kupunguza joto na maji masafi, kupunguza kutu na mengineyo.
 
Usisahau mafuta ya transmisheni

Zaidi ya mafuta ya injini, mafuta ya transmisheni ni muhimu pia na ni vizuri kuichunguza mara kwa mara. Ila, ni bora fundi wako aiangalie. Akiwa anaiangalia, hakikisha ana:

Weka kiwango cha mafuta ya transmisheni kinachohitajika. Asizidishe!
Angalia kama haijaungua au rangi yake imebadilika
Tumia aina ya mafuta iliyopendekezwa na mwongozo wa gari yako.
 
Usafi

Zaidi ya kuweka umuhimu kwenyeusafi wa sehemu zinazonekana kiurahisi, tunasahau kusafisha chini ya gari. Kwa kuwa kuna vumbi, mchanga na udongo mwingi Tanzania, hii ni muhimu sana. Ipeleke gari yako kuoshwa kwa chini mara moja kwa mwezi au zaidi.
 
Ukubwa wa matairi yako ni muhimu

Pata ushauri kutoka kwa mwongozo wa gari yako kuhakikisha matairi yako yana ukubwa unaohitajika na presha sahihi. Hii itaisaidia kutembea kwa usalama zaidi na kupunguza gharama za mafuta. Pia, itazisaidia kudumu zaidi.
 
Endesha vizuri

Hakikisha una:

Tunza breki zako kwa kutosimama haraka na ghafla
Usiendeshe kwa kasi sana kama huna gari yenye nguvu nyingi
Usiweka mafuta yasio sahihi kwa gari yako
Panda matuta polepole. Ukiyapanda kwa kasi unaweza kuharibu vifaa vya ndani ya injini.
 
Back
Top Bottom