Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mwombe fundi wako awe anakufundisha jinsi ya kuangalia hivi vitu vidogo vidogo tulivyoelezea.
Mzee wa hijab nakusalimu kwa jina la msukuma aliyekushika ukashikika🙋Yeah bro,it seems jamaa bado anapasha kiporo,toka waachane wamekuwa watu wa on and off...
Ila Lala ana bonge moja la shepu,achilia mbali yale macho yake