moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ombi lenu limesikilizwa, limekubaliwa.Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu. Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho. Mbeya wanashukuru sana maana...www.jamiiforums.com
Tumezipokea nami nasema: asubuhi yenye nuru(SUBAHAL NOUR)Salam kwenu wote