Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

🙏
 
Nina hofu kubwa sana Mkuu kwamba jamaa atapigwa mvua nyingi kwa kesi ya kubambikiwa. Na hii itazidi kuonyesha kwamba mama hana nia ya kweli ya kuwatendea haki Watanzania. Nawahurumia sana wanawe. HAKI SIKU ZOTE HUINUA TAIFA. Kama akiachiwa huru itakuwa ni ushindi mkubwa sana.
Zimebaki siku 3 mpiganaji mwenzetu MDUDE NYAGALI asomewe hukumu yake. Ninawaelekeza vijana wote wapenda HAKI na wanao amini katika HAKI. Tutafanya maombi ya siku tatu kila mmoja kwa imani yake kumuomba MUNGU ili hukumu iwe ya HAKI.
#Justice4Mdude
 
Walaji wa bamia hunufaika kwa kupata utitiri wa viinilishe vilivyomo kwenye zao hilo, ambavyo humpatia mlaji faida za kiafya takribani 20.Mojawapo ya faida za ulaji wa bamia ni kuwasaidia wanawake kuepukana na changamoto za kiafya zinazojitokeza kwa baadhi yao ambao huwa na siku zisizotabirika za mizunguko yao ya kila mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…