Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
😄😄Halafu kuna mtu atakuja kusema et Mapenzi mabaya
🙏🙏BREAKING: Christian Eriksen awake and stable after collapsing on pitch during Denmark vs Finland 🙏
Duh!!
SawasawaJAPOKUWA bamia huchukuliwa na wengi kuwa ni chakula rahisi kinachotumiwa zaidi na kundi la watu wenye uchumi wa chini na kati, ukweli kwamba aina hiyo ya mboga ina maajabu ya aina yake mwilini.
Safiii sanaTumia bamia mara kwa mara kama tunda mboga linalosaidia kumeng’enya sukari mwilini na kuimarisha kinga ya mwili wako.
AiseeTukiachana na kisukari, bamia huongeza na huboresha kinga ya mwili hasa kwa watu ambao kinga yao ya mwili imeshuka kama vile watu wenye maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU).
Kitu hichooo....
Kitu hichooo....