moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahaha hatari sana
Hongera yake changamoto ni kuwaleaHongera zenu wazazi.
Mlipata changamoto kulea mimba, mlipata changamoto wakati wa kuwazaa na sasa mtapata changamoto wakati wa kulea watoto wenu.
Mwenyezi Mungu akuongozeni muwalee vema watoto wenu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1817310View attachment 1817313
Mwamba aliyepiga hili bao kongole kwake [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hongera zenu wazazi.
Mlipata changamoto kulea mimba, mlipata changamoto wakati wa kuwazaa na sasa mtapata changamoto wakati wa kulea watoto wenu.
Mwenyezi Mungu akuongozeni muwalee vema watoto wenu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1817310View attachment 1817313
Mkuu niaje za masiku teleKamanda utachanjwa? [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870]
Msaada mkubwa kwa nchi masikini