mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Rip Pr BareguInna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Pumzika kwa Amani Profesa Mwesiga BareguView attachment 1817305
Kwa kilichotokea Jana ingekuwa bongo jamaa ange Rip
Binti mpole miss uHusaidia katika kuweka sawa kiwango cha sukari kwenye damu
Ipo sawa kabisa issa bin Mariamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poa mkuu, hali yakoHi mamboz
Ndio uzuri wa utawala wa sheria jamaa kesi imekwisha kafungwa miezi 4 ingekuwa bongoland bado angekuwa Central upelelezi bado unaendelea nchi ngumu hiiMacron na masahibu yaliyompata View attachment 1817039
Kama mamlaka husika zitathibitisha ubora wa hiyo chanjo nitachanja bila kupepesa macho.Kamanda utachanjwa? [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870]
...Na mwisho ungesikia mtuhimiwa amefariki kifo cha kutatanisha.Ndio uzuri wa utawala wa sheria jamaa kesi imekwisha kafungwa miezi 4 ingekuwa bongoland bado angekuwa Central upelelezi bado unaendelea nchi ngumu hii
Njema mkuu wangu za kwako.Msaada mkubwa kwa nchi masikini
Mkuu habari za masiku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bao la Ugali wa kisukuma na ndondo hilo kamandaMwamba aliyepiga hili bao kongole kwake [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hapa limbi wangu🤗🤗I miss you sana.
Umefanya hata nitembeapo sehemu tulizokuwa tunaenda pamoja nipishanapo na watu mwili kushtuka nikumbukapo marashi yako mazuri pimbi.
All in all nimekuhamu zaidi maneno si yote yanaweza kueleza yaliyomo ndani ya moyo huu.
Popote ulipo tafadhali nitafute maana nilikutafuta kila mahali sikukuona.
😂😂😂Mtaachana tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]