D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nikimpeleka nyumbani wazee watasemaMfuate akakulee huyo, utakula Fedha kwa gharama ndogo tu[emoji23]
SawasawaJurgen Klopp
Jürgen Norbert Klopp ni raia wa Ujerumani na mchezaji wa zamani ambaye ndiye meneja wa Liverpool .
Sawasawa..Diego Simeone ndiye mkufunzi tajiri zaidi duniani.
Anapokea €40.5M kila mwaka. Pia ni miongoni mwa wakufunzi wanaopokea fedha nyingi z aidi duniani 2021. Raia huyo wa Argentina amefunza klabu kadhaa lakini amepata ufanisi mkubwa akiifunza Atletico Madrid , kwa kuisaidia kushinda taji la La Liga, Copa del Rey, makombe mawili ya Yuropa, makombe mawili ya UEFA Supercup na kuwa katika nafasi ya pili katika kombe la klabu bingwa Ulaya
🤣🤣
Mh!...Mabaharia kazi kwenuView attachment 1817521
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3059]View attachment 1817512[emoji2956]
Aisee [emoji1787]
Weweeee.......5) Habari njema kwa wanaume, tunda hili linawafanya kua vizuri kitandani.
Titkiti maji pia huitwa Viagra ya asili kwa sababu inasifa ya kuongeza nguvu za kiume kama vile dawa zinavyofanya. Uwepo wa kemikali ya cirtrulline kwenye tikiti makji hubadilishwa na kua Argnine ambayo husaidia kutengeneza nitric oxide ambayo husaidia mtiririko wa damu na kuacha mishipa ya damu ikiwa mipana na hivyo kuzuia kupungua kwa nguvu za kiume.
Plus K vant hapo sawa kabisaNdiyo kusema huwe,I kupata usingizi mpaka upate blanket chapa ya mtu, si ndiyo [emoji23]