mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kuna kaukweli[emoji849][emoji849]View attachment 1817533
Haha weekend hii naona ilikuwa bomba sana kwako,sio kwa kutamani hukoMambo yako poa ninge, wekeend natamani ibaki yanii, vipi wewe upande wako.?
Hahaha Kama mtu anayejambaWazee wa mashairi[emoji849]View attachment 1817538
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wapi mzee wa liver na mzee wa Mwakaleli View attachment 1817441
Ahsante sana Anko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji137]
Bomba wapi ninge, wekeend ilikuwa na mood swing imekuja kukaa sawa leoπHaha weekend hii naona ilikuwa bomba sana kwako,sio kwa kutamani huko
Kwangu iko poa TH
Duh..Ahsante sana Anko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji137]
Nipo nipo kitaa View attachment 1817583
Yaani raha ya tikiti ulile masaa mawili kabla ya mpambano, lililiwe kipande kikubwa hadi ukienda haja ndogo kuwe na harufu ya tikiti... Aisee.5) Habari njema kwa wanaume, tunda hili linawafanya kua vizuri kitandani.
Titkiti maji pia huitwa Viagra ya asili kwa sababu inasifa ya kuongeza nguvu za kiume kama vile dawa zinavyofanya. Uwepo wa kemikali ya cirtrulline kwenye tikiti makji hubadilishwa na kua Argnine ambayo husaidia kutengeneza nitric oxide ambayo husaidia mtiririko wa damu na kuacha mishipa ya damu ikiwa mipana na hivyo kuzuia kupungua kwa nguvu za kiume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weweeee.......
.
Hahaha anko nakuona na barakoa yakoAhsante sana Anko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji137]
Nipo nipo kitaa View attachment 1817583
πππππππππππππππππππππππππππππYaani raha ya tikiti ulile masaa mawili kabla ya mpambano, lililiwe kipande kikubwa hadi ukienda haja ndogo kuwe na harufu ya tikiti... Aisee.
Sema hata uhemaji unapungua kabisa japo fenesi linakuwa la moto sana. Usipo kuwa na tahadhari ya tumafuta unaweza kula konokono mkavu.