Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ugonjwa mkubwa wa hii nchi ni uwajibikaji ndipo unafuata ugonjwa wa katiba na mengineyo.
kuna nchi zina sheria za kishenzi lakini zina maendeleo makubwa kwa sababu ya uwajibikaji wa viongozi na wananchi.
  1. watanzania wengi hatufahamu haki na wajibu wetu, kwetu sisi haki ni jambo la hisani na wajibu ni jambo la kushinikizwa
  2. viongozi ndio hao wana kharamu wakubwa
Mkuu mkuu
 
Usiku wa Kababu
FB_IMG_1601757855693.jpg
 
Back
Top Bottom