Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Leeds United inahusishwa na mpango wa kumsajili mlinzi wa kushoto wa Rangers, raia wa Croatia Borna Barisic (28). (Football Insider)
Aisee..Meneja wa Arsenal, Mikel Arteta yuko tayari kumuuza mlinda mlango, raia wa Ujerumani Bernd Leno (29), msimu huu kama atapatikana mbadala wake. (Mirror)