Hurudisha nguvu za mwili
Mara nyingi mtu anapokuwa amechoka, kwanza huhitaji kuoga ili ajisikie vizuri. Ni wazi kuwa mtu anapooga hasa kwa maji baridi hujisikia kurudiwa na nguvu au hali nzuri kuliko ile aliyokuwa nayo kabla ya kuoga.Ikiwa umechoka na unatokwa na jasho, hebu jaribu kuogea maji baridi nawe utashuhudia swala hili.