Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa itaharibu umoja wetu tulionao kwa sasa!
Jukwaa zuri sababu tumechanganyika kwa uzuri sana!

Kuna watu tulikuwa hatuekewani majukwaa ya siasa lakini hapa tunapeana like kwa upendo mkuu.

Chonde chonde tuendelee hivi hivi bila kuweka tofauti zetu za huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…