Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
OkNakucheki muda si mrefu
OkNakucheki muda si mrefu
Nataka nikununulie[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukikanyaga chini kama kuku
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Kwa watu maalumUzi maalum
Kabisa maana miguu ya kukucreativity
You mentioned this name hundred times kama mdau wa mpira namkubali sanaRamadhani dau
Siasa itaharibu umoja wetu tulionao kwa sasa!
Jukwaa zuri sababu tumechanganyika kwa uzuri sana!
Kuna watu tulikuwa hatuekewani majukwaa ya siasa lakini hapa tunapeana like kwa upendo mkuu.
Chonde chonde tuendelee hivi hivi bila kuweka tofauti zetu za huko.
Njema mpendwaHabari ya mchana wapendwa
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Ushauri mzuri. Yakianza mambo ya mafisi na manyumbu hapa tutapaharibu. Lengo letu hapa ni moja tu: TOA LIKES POKEA LIKES!!!Siasa itaharibu umoja wetu tulionao kwa sasa!