Try your bestNajaribu kulike za nyuma but am sorry sita like zote, you guys mna comment like whaaaaat!!!
Mbona waita kwa sauti ndogo ya kukata tamaa?
WordNi kweli. Na mwanaume anayejielewa wajibu wake wa kwanza, mbali na kutafuta hela, ni kumtunza na kumdekesha ampendaye..
Sent from my SM-G928T using JamiiForums mobile app
Na watu maalum ndio sisi.Kwa watu maalum
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Taratibu tu mkuu maana moyo wa mtu hauibiwi.Fanya kubahatidha tena
mkuu salaamKabisa maana miguu ya kuku
Nipo BossKichwa kichafu my mental upo
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app