Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Marahaba aisee. Hujambo? Za kupotea? Naona umerudi kivingine kabisa...makopakopa kama yote yaani. Nakutakia kila la heri shem ila kama ni huyo pimbi wako wa miaka na miaka on and off mtaachana tu...and this time for good!
😂😂😂

Sijambo shem,majukumu yanabana ndo mana niko mbali na familia hii....
 
Miguu iliyopooza kwa watoto


Viwango vya chini vya iodini


Hatari kubwa ya ugonjwa wa goiter
Ugonjwa ufahamikao kwa jina la tropical ataxic neuropathy (TAN), hali ambayo hujitokeza kwa watu wenye umri mkubwa unaopelekea kupoteza hisia mikononi, uoni hafifu, udhaifu, matatizo ya kutembea, na hisia ya uwapo wa kitu fulani chini ya miguu


Kulewa kutokana na sumu na hatimaye kifo
 
Aundae vipi chakula cha muhogo kwa usalama wako?

Wataalam wa afya na lishe wanashauri kuchukua hatua zifuatazo:

Kuumenya muhogo na kuukata vipande vidogovidogo

Kuuchemsha, kuoka, au kukaanga mpaka ulainike na kuiva barabara

Kumwaga maji yote yaliyotumika kupikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…