moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
SawasawaHutawala kiwango cha sukari mwilini
Maharage yana nyuzi nyuzi ambazo hupunguza kiwango cha metaboli cha wanga (carbohydrates) mwilini. Kwa kufanya hivi huwezesha kutawala kuongezeka kwa kiwango cha sukari hasa baada ya kula chakula.Maharage pia yana protini ambayo husaidia kupunguza kiwango cha sukari mwilini.
Salaam [emoji120][emoji120]Salam kwenu wote
Amin[emoji120]Mungu atupe siku njema
😂😂tunasubiria....Usisahau kuteua mtu kwenye uzi huu.
View attachment 1819885
Safii♥️♥️♥️♥️♥️View attachment 1819944