mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu Mimi kwa upeo wangu mdogo naona kama Muungano unalazimishwa tuukimsikiliza othman massoud utaondoka na elimu kubwa.
kumbe waingereza walitaka huu muungano uimeze kabisa zanzibar na walileta mtaalamu wao alifuatilie suala hili
Hila jamaa mwamba Sana Jana katupia mbili
Natamani uvunjwe tuwatimue wanzenji bara kasoro dae tu😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃huyu abaki anatufaidisha na vikoreaMkuu Mimi kwa upeo wangu mdogo naona kama Muungano unalazimishwa tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Natamani uvunjwe tuwatimue wanzenji bara kasoro dae tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]huyu abaki anatufaidisha na vikorea
Binafsi nilikuwa simuelewi CR7 hila tangu ameenda Juve aisee jamaa anajua hata akirudi Man U atakiwasha sana mwamba Sana Madevu atulie kwanzacole akija atatupigia kelele za penadooo
kunywa bia weweeeeee mambo ya siasa achana nayo.Mkuu Mimi kwa upeo wangu mdogo naona kama Muungano unalazimishwa tu
kabisa maana akina rash,martial wanatania tu pale hawana userious saa nyingine. Mandevu keshaishiwa yaan kule copa anademka tu hana jipyaBinafsi nilikuwa simuelewi CR7 hila tangu ameenda Juve aisee jamaa anajua hata akirudi Man U atakiwasha sana mwamba Sana Madevu atulie kwanza