Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JUICE YA KAROTI KAMA KINGAMchanganyiko huo pia hutumika kama kinga dhidi ya saratani, matumizi ya juisi ya karoti yenye mchanganyiko wa tangawizi husaidia kuukinga mwili dhidi ya matatizo ya saratani za aina mbalimbali kwani husaidia kuua seli zinazoweza kuchangia matatizo ya saratani.
 
Suala la kula pengine ndilo nguzo ya kwanza ya afya ya binadamu Mwili ukiwa sawia bila shaka utaweza kufanya mambo yako yote, na usipokuwa sawa basi hutaweza kutimiza lengo lako lolote! Hivi ni yakula kadhaa vinavyoweza kukusaidia kuongeza kinga ya Mwili wako
 
Du kumbe ndio yalikuwa makubaliano hayo
kuna mambo makubwa matatu yalipendekezwa na maalim seif kupitia waraka ulioandaliwa(kwa mujibu wa ismail jussa)
hili la muamsho alikuwa akiliongelea sana hayo mengine hajawahi kuyaweka hadharani
hata othman massoud amelizungumza sana, alifikia hatua ya kusema wananchi wasiogope kuwachangia uamsho na kesi yao inakwenda vizuri
wakati mwanzoni hapakuwepo uthubutu wa kulizungumzia sakata lao

hata hujiulizi ilikuwaje hao watu watoke kirahisi haliyakuwa ishapita muhula miwili ya maraisi (kikwete 5, magufuli 5)
je kesi ya nassor mazrui umeisikia tena tokea ACT waingie kwenye serikali, si alikamatwa na wenzake takribani 30 na kufunguliwa mashitaka bara

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…