Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU.

Juisi ya ukwaju ina umuhumi sana katika miili yetu, pia tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana faida kubwa sana katika afya ya mwili wa mwanadamu.
 
ZIFUATAZO NDIZO FAIDA ZITOKANAZO NA JUISI YA UKWAJU.

1. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini β€˜antioxidants’ ambavyo huzuia Saratani (cancer) kwa mtumiaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ile pisi iliyokua na suruali matata asalaleee ninge nilimuona boda mmoja ananiangalia aaah jaman mzee wa kadeti usiwe bodaboda sio kwa burufukesi ile
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kumbe uliniona jirani na ile Vanguard yako...ile boda ndio inaniweka mjini m light skin wewe[emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kumbe uliniona jirani na ile Vanguard yako...ile boda ndio inaniweka mjini m light skin wewe[emoji23]
cheiiiii vanguard wapi mie nilikua dereva wa bajaji hapo mbona unaniangushaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…