Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

cheiiiii vanguard wapi mie nilikua dereva wa bajaji hapo mbona unaniangusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah Numby,fresh lakini,sema jams kama zile zinatokea mara chache sana jijini kwetu

Ilikuwa weekend nzuri kwangu kumuona light skin matata...

Kwema lakini Numby?mchana wako unaendeleaje hapo?
 
nigendako analeta hadithi za abunuwasi
eti numbisa na vangaaad
wakati pesa ya bando la usiku anasubiria airtel
jamani jamani jamaniiii uwiiii nimeumbuliwaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚natumaini ntabaki na sifa ya u light skini usije nipokonya nikakosa sifa za ng'ombe wengi wa wasukuma
 
Dah Numby,fresh lakini,sema jams kama zile zinatokea mara chache sana jijini kwetu

Ilikuwa weekend nzuri kwangu kumuona light skin matata...

Kwema lakini Numby?mchana wako unaendeleaje hapo?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚zile jam zipo daily sema ina mida yake hasa kwenye mataa na kona flan hivi bado pepsi na nata

salama kabisa. mchana upo shwari na umeuongezea madoido aiseee msukuma adumu,ninge unaongea kama mzaramoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.mzima hapo ulipo?
 
Ujue mwanzoni nilikuwa sijakuelewa hapo uliposema "msukuma adumu" dah nimecheka sana[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili zako unazijua mwenyewe tu

Mimi niko poa pia Numby,mchana wangu ni shwari kabsa hapa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…