Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pole baba chicowallahi namshukuru maulana kwa neema yake ya uhai japokuwa mguu unanisumbua tokea juzi usiku
ule mzigo wa yellowstone umeshautupia ukanipa mrejesho?
kumbe millioni 50 kiupande wako ni hela ya mbogausimsikilize ninge anataka nikose mgao wa bil zakoππππππ
Jamani jamani tonge linaniponyoka hivi hiviiiπππππkumbe millioni 50 kiupande wako ni hela ya mboga
basi nitampa bibi tukionao The Happiness
π π π wakati nimekaa zangu hapa nawaza jinsi ya kukukopa milioni 200 kwenye bilioni1 πbillioni 1 yangu mutanilipa lini?
- mzee kijana wa kisukuma
- the happy mtangaji ovyo
- numbisa mlaji sato na sangara
- mzee mwenda kimya
- balozi wa sweden
- babu kijana
πππππuna comedynatembea kama kobe
teh teh teh
ahsantum
πππππππhaaa zote hizooo utamaliza mgao wetu mie na mzee wa liverπ π π wakati nimekaa zangu hapa nawaza jinsi ya kukukopa milioni 200 kwenye bilioni1 π
tulia weweeee tuna jambo letu mwaka huuπ π π wakati nimekaa zangu hapa nawaza jinsi ya kukukopa milioni 200 kwenye bilioni1 π
kwa sababu hunioniπππππuna comedy
alivyo dhahabu diggersπππππππhaaa zote hizooo utamaliza mgao wetu mie na mzee wa liver
Pole sana bro,hapana ule mzigo bado sijaushusha,nipo napambana na queen of the southwallahi namshukuru maulana kwa neema yake ya uhai japokuwa mguu unanisumbua tokea juzi usiku
ule mzigo wa yellowstone umeshautupia ukanipa mrejesho?
waaapi hawawezi kukukamata. kuna story moja niisoma sehemu kuna ndugu walikua wana mgonjwa hoooiii kwenye machela wanampeleka dispensary njiani bana akatokea mwehu na mawe weee wa kwanza kukurupuka na kukimbia ni mgonjwakwa sababu hunioni
tukipigwa ambush na polisi nitakuwa wa kwanza na wa mwisho kukamatwa
Hahahahkwa sababu hunioni
tukipigwa ambush na polisi nitakuwa wa kwanza na wa mwisho kukamatwa
nazipenda sana series zenye maudhui vita ya kibiashara zinazoambatana na umafia ndani yakePole sana bro,hapana ule mzigo bado sijaushusha,nipo napambana na queen of the south
ππππππππalivyo dhahabu diggers
ameomba asilimia 20 ya pesa
Mgonjwa alipona ghafra[emoji23][emoji23]waaapi hawawezi kukukamata. kuna story moja niisoma sehemu kuna ndugu walikua wana mgonjwa hoooiii kwenye machela wanampeleka dispensary njiani bana akatokea mwehu na mawe weee wa kwanza kukurupuka na kukimbia ni mgonjwa
Kama haujatizama hii queen of the south,basi itakufaa ni nzuri sana,mwaka huu wametoa msimu wao wa mwishonazipenda sana series zenye maudhui vita ya kibiashara zinazoambatana na umafia ndani yake