Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1623979938441.jpeg
 
Nchi inapofuata utawala wa sheria ni jambo la kujivunia sana. Juzi ndio nimejua kumbe Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja (nje ya Ikulu ya Dar au Dodoma) zaidi ya siku 3 (sheria no.15 ya mwaka 1984). Lakini "Mwamba" alikua anaweza kujichimbia hapo Chato hata miezi miwili na hakuna kitu mtafanya. Subhanallah.!

GJ Malisa
 
Back
Top Bottom