antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
😂😂😂Nchi inapofuata utawala wa sheria ni jambo la kujivunia sana. Juzi ndio nimejua kumbe Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja (nje ya Ikulu ya Dar au Dodoma) zaidi ya siku 3 (sheria no.15 ya mwaka 1984). Lakini "Mwamba" alikua anaweza kujichimbia hapo Chato hata miezi miwili na hakuna kitu mtafanya. Subhanallah.!
GJ Malisa
Yule alijiweka juu ya Katiba na sheria