Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ameushukuru ujumbe wa serikali ulioongozwa na Naibu Waziri Masanja, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo kwa mapokezi waliyompatia, pia Kamishna wa Uhusiano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Paschal Shelutete.
 
Siku ya mwisho ya kufika kileleni ilikuwa yenye hofu kubwa, kwani alipoteza mawasiliano na tulipokuwa tunaangalia mtandaoni, tuliona kulikuwa na upepo mkali ambao ulikuwa unachana mahema juu ya mlima. Tukaanza kumwomba Mungu, lakini baada ya saa 22 tulipata ujumbe wake kuwa yuko salama na ameshashuka mita 8,000. Tukamshukuru Mungu,” anasema Dakik.
 
Back
Top Bottom