Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
KAMA ulidhani mshumbuliaji wa timu ya taifa ya Ureno Christiano Ronaldo amekwisha basi unajidanganya kwani jamaa ilimchukua dakika 3, tu kuvunja rekodi ya michuano ya Ulaya (EURO) iliyodumu kwa takribani miaka 37.