antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Safi sana.Binti wa Arusha, Rawan Dakik (20), ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza mwanamke kupanda Mlima Everest.
[emoji120][emoji120]Salam kwenu
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe siku njema..