vs HUNGARY ( EURO 2020) HATUA YA MAKUNDI
Hapa ndipo alipoandika rekodi yake kwa ya kufikisha magoli 10, kwenye michuano hii, pia akafikisha magoli 106, kwa ngazi ya timu ya taifa huku akiwa amebakisha magoli 4 tu kuvunja rekodi ya mshambuliaji wa Iran Ali Daei mwenye magoli 109.