Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kumbe unaifatilia sistas?sikujua mpendwa, hii niliiacha Season 1 baada ya kuisha, niliona yule Calvin anazingua, anashindwaje kumla mtoto Sabrina
😃😃😃 naona unalinda Bro-code za Jf
Jamani jamaniMshubiri (Aloe vera)
Mshubiri huwa na virutubisho muhimu vinavyohitajika kwa ngozi yako. Utahitaji jani moja la Aloe vera. Chukua Aloe vera kisha kata jani lake vipande vipande utoe jeli yake kisha upake kwenye lips. Unaweza kulala nayo. Tumia hadi uone matokeo.Tahadhari: Aloe vera ni chungu, kuwa muangalifu unapoitumia.
Hahaha aibu ya nini sasa mpendwa? Na ile mitaa huwa unafunguka balaa.. Usinionee aibu bhanaNikionaga like yako eti nahisi aibu fulani why una vizia sehemu ninazo povuka kweli kweli[emoji3][emoji3]