moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Angalau tutapata hivyo, manispaa ya Kahama wayayatumia kama shule au kwa shughuli nyingineWakati kazi hiyo ikiendelea, uongozi wa Barrick unajiandaa pia kukabidhi ama serikalini au kwa mamlaka zilizopo eneo hilo miundombinu mbalimbali iliyopo kama majengo, karakana, magodauni na miundombinu na mabwawa makubwa ya kuvuna maji yaliyokuwa yakitumiwa na mgodi.
Maendeleo mazuri"Kwa mfano, kabla ya mafunzo mkulima alikuwa anavuna magunia matano hadi 12 kwa ekari moja. Lakini sasa hivi mkulima huyo huyo katika eneo lile lile, anavuna kati ya magunia 30 na 45!” anasema Siama, kauli iliyothibitishwa baadaye na wakulima waliozungumza na wahariri katika kituo cha ushauri wa kilimo biashara cha Mondo.