Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji wa Blackpool Muingereza Jerry Yates, 24, amepangiwa na Blackburn kama mchezaji atakayechukua nafasi ya mshambuliaji wa zamani wa England Adam Armstrong 24, ambaye amekuwa akihusishwa na timu za West Ham, Southampton na Norwich City. (Sun)
 
IMG_20210619_150337.jpg
 
Kiungo wa kati wa Arsenal Mfaransa Matteo Guendouzi, ambaye alikuwa who skatika Hertha Berlin msimu uliopita kwa deni, amekubali mkataba wa kibinfsi na klabu ya Ufaransa Marseille, ambao sasa wanajadili kuhusu mkataba huru wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 na Gunners. (Fabrizio Romano via Sun)
Duh...Arsenal bwana..
 
 
Back
Top Bottom