Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongereni wakulima wote..
[emoji120][emoji120][emoji120]
FB_IMG_1620248518601.jpg
 
Leo tutaongelea kuhusu furaha na afya katika michezo mbalimbali ndani ya jamii. Kuna aina za michezo nyingi sana katika jamii hivyo basi kama mpenzi wa michezo utakuwa unazitambua baadhi ya aina hizo za michezo, kwa mfano mpira wa miguu, mpira wa pete, riadha.
 
Unakuwa na afya : ukiwa kama mwana michezo ndani ya jamii kwanza unakuwa na afya ya kutosha katika mwili wako, na wafanya mazoezi wengi ukiwaangalia tuu macho lazima utafikiria kwamba uyu ni mwana mazoezi bila kipingamizi chochote kile, kwasababu mili yao inakuwa naukakamavu wa kutosha na afya tele.
 
Back
Top Bottom