Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1623814532689.jpg
 
Vipi lakini Wekeend inasemaje hapo mitaa ya geita?mvua haijanyesha leo.?[emoji3]


Nilipita jukwaa lako lakujidai bhana, Lupin ni nzuri hatarii
[emoji2][emoji2]
Huku ni kwema kabsa TH, kulikuwa na hali flani ya mawingu mawingu, hakuna jua siku nzima..


Lupin sijaiangalia licha ya kusifiwa sana, nilikuwa namtizama Miss Mendoza kwanza, imeisha vizuri sana
 
Back
Top Bottom