Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Manake hachezi tena mpira huyu,
Nilihisi hivyo pia. Atasikitika sana.
Kufungiwa hicho kifaa haimaanishi hata cheza tena,Netherland wana mchezaji mwenye tatzo kama la Eriksen,na tayali alishafungiwa kifaa hicho.. Na kwenye hizi fainaili za Euro zinazoendela hivi sasa anacheza,mfano game ya kwanza kabsa ya Netherlands, alicheza na kutolewa Dakika za 70..anaitwa Daley BlindDah! Saana
Ila kama ni mpunga kavuta mrefu sana, afanye kulea familia na mambo mengine.
He is too young to die.