Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Duh...Arsenal bwana..Kiungo wa kati wa Arsenal Mfaransa Matteo Guendouzi, ambaye alikuwa who skatika Hertha Berlin msimu uliopita kwa deni, amekubali mkataba wa kibinfsi na klabu ya Ufaransa Marseille, ambao sasa wanajadili kuhusu mkataba huru wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 na Gunners. (Fabrizio Romano via Sun)
Siyo kwa mbio hizo[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]