Tuna Ujasiri Na Ufahamu Mwingi Wa Kuielezea Sana Na Kuidharau Sana Jana Ya Mtu Na Leo Ya Mtu Lakini Kesho Yako Kesho Yangu Hakuna Aijuaye Isipokuwa Mungu Peke Yake ndiye anaeifahamu na kuijua kesho yako.
Elimu Yako, Kazi Yako Utajiri Wako, Hivyo Vyote Ulivyo navyo Visikufanye Ukamdharau Mtu, Mungu Atamuinua Na Kumbariki Kwa Kila Aina Ya baraka Mungu Atafunga Midomo ya wenye Dharau wote, Nasema Usimdharau Mtu.
Kwa wale wanaodharauliwa: Hivyo Hivyo Ulivyo leo Jiamini Haijarishi Wanakudharau kwa namna gani Ooooh!! wewe Mche Mwenye Kesho yako Kwa Uaminifu na hari yako hiyo hiyo Aitengeneze Kesho yako ya kuinuliwa na heshima .
Jiamini Wewe Kwa Eneo lako ni waziri wa kesho Kwa nafasi yako, Mungu atawashangaza wengi watabaki wanashangaa kwamba imekuwaje Watakubaliana na matokeo ya Mungu maana Mungu si mwanadamu .
Jiamini Wewe Kwa Eneo lako ni waziri wa kesho Kwa nafasi yako, Mungu atawashangaza wengi watabaki wanashangaa kwamba imekuwaje Watakubaliana na matokeo ya Mungu maana Mungu si mwanadamu .