Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mfalme Antonio Tavalara na familia yake wanaendesha boti la abiria ambalo husafirisha watalii kutoka Italia hadi katika kisiwa ivho.

Huwa wanatembelea eneo hili kujionea spishi ya mbuzi ambayo ipo hatarini kupotea kabisa na mwewe.
 
Nikiona hii picha ya Zari nakumbuka darasa la tano. Mtaani walihamia mabinti wawili Baba mmoja mama mmoja wakitokea Bush ilikuwa wakati wa likizo. Sikuwa na mazoea nao. Siku ya kwanza shule kufunguliwa naenda zangu shule mmoja akanikimbilia na kuniuliza nasoma shule ipi. Nikamjibu, akaniambia na wao na ndugu yake wanasoma shule hiyo lakini hawajui njia kwani ndiyo siku ya kwanza kutia mguu hivyo aliomba niwasubiri kidogo ili tufuatane. Nikasema sawa baada ya muda wote wakaja pisi wala hazina ukali wowote ule 😂😂😂😂 basi nikawaona kama dada zangu. Mujini kukawapenda sana na kuanza kunawiri na kujaza kidogo kidogo na kila tukionana shule walikuwa wakinipa heshima yangu kama Kaka yao 😂😂😂😂. Naingia la saba wale dada zangu wamekuwa pisi kali sana ni gumzo la shule. Njemba zinachapana makonde kama kawa kwa ajili yao. Nikawa najilaumu kwamba hawa wangekuwa wazuri hivi ile siku ya kwanza basi nisingekubali kuwa Kaka yao mmoja lazima angekuwa mchumba 😂😂😂😂na kuvunja ukaka ikawa si rahisi tena. 😅😅😅😅



 
1624326793467.jpeg
 
Nikiona hii picha ya Zari nakumbuka darasa la tano. Mtaani walihamia mabinti wawili Baba mmoja mama mmoja wakitokea Bush ilikuwa wakati wa likizo. Sikuwa na mazoea nao. Siku ya kwanza shule kufunguliwa naenda zangu shule mmoja akanikimbilia na kuniuliza nasoma shule ipi. Nikamjibu, akaniambia na wao na ndugu yake wanasoma shule hiyo lakini hawajui njia kwani ndiyo siku ya kwanza kutia mguu hivyo aliomba niwasubiri kidogo ili tufuatane. Nikasema sawa baada ya muda wote wakaja pisi wala hazina ukali wowote ule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi nikawaona kama dada zangu. Mujini kukawapenda sana na kuanza kunawiri na kujaza kidogo kidogo na kila tukionana shule walikuwa wakinipa heshima yangu kama Kaka yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naingia la saba wale dada zangu wamekuwa pisi kali sana ni gumzo la shule. Njemba zinachapana makonde kama kawa kwa ajili yao. Nikawa najilaumu kwamba hawa wangekuwa wazuri hivi ile siku ya kwanza basi nisingekubali kuwa Kaka yao mmoja lazima angekuwa mchumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kuvunja ukaka ikawa si rahisi tena. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pole,
Kwahiyo hukufanikiwa hata kula !?
 
Back
Top Bottom