Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asubuhi njema
FB_IMG_1607831703719.jpg
 
Lazio wako tayari kumuuza mshambuliaji wa Argentina Joaquin Correa,26, ambaye ananyatiwa na Arsenal na Tottenham. Kuna uwezekano Gunners wakamtumia kiungo wa kati wa Lucas Torreira, 25, kama sehemu ya mkataba. (Gazzetta dello Sport)
 
Rais wa Barcelona Joan Laporta ana ndoto ya kuwakutanisha Cristiano Ronaldo na Lionel Messi msimu ujao na yuko tayari kutoa ofa ya wachezaji wawili katika juhudi za kuishawishi Juventus kumuuza mshambuliaji huyo wa Ureno aliye na umri wa miaka 36. (AS - in Spanish)
 
Manchester City wako tayari kuwajumuisha washambuliaji wa Brazil Gabriel Jesus, 24, na England Raheem Sterling, 26, katika dau la kumnunua Harry Kane,27, ambaye Tottenham inakadiria thamani yake inakaribia paundi milioni 150. (Times - subscription required)
 
Back
Top Bottom