Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaharakati wa haki za binadamu wanasema wanawake hao wamehukumiwa kwa kile walichokiita ni ukandazaji unaoendelea wa mamlaka nchini humo unaowalenga watumiaji na watu wenye ushawishi kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwafungulia mashitaka yanayokiuka haki zao za faragha na uhuru wao wa kujieleza.
 
Hossam, mwanafunzi wa chuo kikuu cha Cairo ambaye anawafuasi karibu 900,000 kqwenye mtandao wa TikTok, kwa mara ya kwanz aalikamatwa April 2020 baada ya kuweka kwenye mtandao huo video ikiwaalika wafuasi wake wa kike kujiunga kwenye mtandao mwingine wa video unaoitwa Likee, akiwamabia wanaweza kutengeneza fedha. Badae mwendesha mashitaka akamshitaki kwa kwenda kinyume na misngi ya familia.
 
Benzema, 33, alirudishwa kwa mbwembwe kwenye timu ya taifa ya Ufaransa ili kuisaidia katika Kundi la Kifo la Euro 2020 baada ya kutengwa na kocha Didier Deschamps kwa miaka sita. Lakini tangu amerejea hajafanya kilichotarajiwa na staa wa timu hiyo, Antoine Griezmann, amejitokea kumkingia kifua.
 
Mabingwa mara tatu wa mashindano ya Euro, Hispania walijikuta wakilazimishwa sare ya bao 1-1 na Poland, matokeo yaliyowafanya wafikishe pointi mbili ambazo zimewaweka katika nafasi ya tatu kwenye kundi E na ili wafuzu wanahitajika kuibuka na ushindi katika mechi ya mwisho dhidi ya Slovakia waweze kusonga mbele.
 
Alvaro Morata alitangulia kuifungia bao, Hispania katika dakika ya 25 lakini dakika ya 54, Robert Lewandowski aliisawazishia Poland huku Gerard Moreno akipoteza fursa muhimu ya kuifanya Hispania kuibuka na ushindi katika mchezo huo baada ya kupoteza mkwaju wa penalti katika dakika ya 58.
 
Back
Top Bottom