BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Walimu waliwachukia kwa kosa gani?Hapana sikula Mkuu maana maji yalishakuwa marefu nikabaki naangalia sinema kwani kutokana na njemba kuchapana makonde kwa ajili yao mara kwa mara walimu waliwachukia sana.