Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jino la gharama zaidi duniani lina thamani ya dola $36,857 sawa na Tzs. Milioni 85.5. Lilikuwa la mwanamuziki wa zamani John Lennon na lilinunuliwa na daktari wa meno wa Canada Dr. Michael Zuk mwaka 2011,
Kabla ya hapo jino la Sir. Isaac Newton ndio lilikuwa linashikilia rekodi.
 
Wazazi wake, Bw. na Bi SANGA, walikuwa ni watoto wa Chifu. Watoto wengine wa wazazi hao walikuwa ni RWIJISO, ANNA, GEOFREY na ALFRED (Mwenyekiti wa Simba SC 1979-1982).

Tunte alianza shule ya msingi mwaka 1942 huko Njombe akiwa na miaka 12 kama ilivyokuwa kwa Mwalimu J.K. Nyerere.

Alifanya mtihani wa darasa la 4 na kufaulu na hivyo akaendelea "middle school" hadi 1946 alipofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi huko na kufaulu. Alijiunga na shule ya sekondari ya Ilboru mwaka 1947 na kumaliza mwaka 1950 ambapo alifaulu vizuri sana. Kidato cha tano na sita alisoma shule ya "Tabora Boys" kuanzia mwaka 1951 hadi 1952.
View attachment 1827422
Huyu Alfred Sanga ndiye aliyeweka rekodi pale klabu ya Simba.
Wenyewe wanasema ndiye mkristo wa kwanza kuongoza klabu hiyo.
Alikuwa kipenzi cha wazee wa timu hiyo.
Alikuwa Makamu Mwenyekiti kwa kipindi hicho
 
Mchana wa kupasha
FB_IMG_1616896977541.jpg
 
Umeongea maneno makubwa sana yakhee mwenye akili na atang'amua mlengwa/walengwa watajitathmini,

Kuna genge la Matapeli humu likiongozwa na huyo mmama anayejifanya ana huruma sana kumbe atengeneza mazingira ya kuumiza watu, na akiona target yake imefeli basi ataletea zengwe kwa mwenye shida kua hana fadhila mara hana msimamo,

Kwa muda wa miaka sita nilokaa humu JF nimekuelewa mno ulichoandika na hiyo mitapeli itaanikwa wazi tu maana tumechoka kuona ndugu zetu wanalia kila siku.

Sikutegemea hii mada ingefika mbali kiasi hiki duh. mkuu Kaveli pengine dada yetu Wangari Maathai hawajui watu wa humu wanavyoanzaga utapeli ndio maana anawatetea hasa wazee wa fursa za majuu.

-Nani humu anamkumbuka britanicca alivyoanzaga kuchora ramani za majuu 😀😀😀 wote tunajua mwisho wake ulivyokua.

-sijui kwa @paraboa ingeishaje ila raia walikuwa na uzoefu teyari 😀😀😀.

- Raimundo Mzee wa elfu 10 PM hapa The bold angekuwa active jukwaani angetukumbushia huyu naye alipataga watetezi wengi kweli tena alikuwa memba jukwaani kitambo tu lakini alitokomea.

- ONTARIO mzee wa forex huyu alipiga wengi wengi sana hapa jukwaani mwisho wa siku alikomea yupo zake insta 666 chata FRESHMAN Humble African TEAM 666 wanalikumbuka vizuri hilo sakata ilikuwa 2017 mwishoni Kama sikosei.

By the way nikionaga mada Kama hizi huwa nachukua popcorn then na enjoy the show.

NB:Kuna watu wengi tu wamepigwa hapa JF na kutembea kimya kimya,Wengine wanatuleta feedback Kama hv na pia Kuna watu ramani za maisha zimeanzia hapa kupitia koneksheni za hapa na lifer likasonga
Siku mkija kujua maisha halisi ya watu humu JF,mtakuja kubaki midomo wazi! Watu wanajifaragua good life,kumbe kutwa ndiyo wapiga mizinga!

Baadhi ya tunaowajua hua tunabaki kimya tu! Ndiyo maana kule Twitter,ukileta ujuaji watu wanakupiga SPANA za maana hadi unakimbia jukwaa!

Watu wanajua kila kitu,mtu anajua hadi mabomu ya Jeshi la Marekani hua yanawekwa wapi,wakati hapo alipo hata mlo wake wa siku hana uhakika!

Hua sielewi kabisa, inakuaje unajifanya good life,unaweza fanya ABC,wakati hapo ulipo huna hata connection,huna hata kipato cha maana,huna hata pesa unazosema kua unazo? Huna hata hiyo miradi unavyosema unayo? Elimu yako yenyewe tia maji,tia maji! Frank akikuuliza umesoma wapi,unasema UDSM, John unamwambia nimesoma UDOM,Irene unamwambia nimesoma SAUT, Issa unamwambia nimesoma Mzumbe! Hivi mbona tunakua waongo waongo sana! Kwa nini tusiwe na maisha ya ukweli? Hata kama kudanganya basi isiwe too much,Mimi mwenyewe hua naongopa lakini sio kwenye mambo ya msingi,ambayo yanaweza kuja nilitea shida mbele ya safari! Unasema nimejenga,kumbe umepanga,unasema nina gari hata gari huna! Wewe unayekosa hata pesa ya birthday kwa mtoto wako unaanza tembeza bakuri,leo hii unasema na wewe ni donor! Maajabu haya!

Unamwaminisha mtu kua wewe ni innocent,hua ukitumiwa nauli kweli unaenda,unatoka uliko na kwenda sehemu alipo,jamaa anajenga Imani kwako,then next time unatumiwa nauli na huendi!

Unasema kabisa I did ABC kwa mtu flani na he/ she did ABC mbona hamujisemi kwamba kuna watu mmewatapeli kwa kuwaambia wawatumie pesa ya nauli nakwenda huko aliko?? Wakati unajua kabisa kwa wakati huo huwezi kwenda upo sehemu na mwanaume mwingine?

Muda ni Mwal mzuri sana kwenye maisha yetu! Kama unaweza fanya kitu,fanya kimya kimya na sio kwa matangazo na Mabango,na sio kwamba watu hawana maisha mazuri humu,wapo na wapo kimya hawana hata matangazo! Na wala hawahitaji kujulikana!
Kuna la kujifunza hapa
 
Back
Top Bottom