BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Nmeupitia huu uzi toka siku ya kwanza, kuna mengi ya kujifunza,hasa kwenye coment ya MangunguKuna la kujifunza hapa
Nmeupitia huu uzi toka siku ya kwanza, kuna mengi ya kujifunza,hasa kwenye coment ya Mangungu
SafiiWahuni utawasikia natamani ningekuwa ukuta
🤣🤣🤣🤣🤣 Hivi ukuta unasikia utamu wa hii kitu!? View attachment 1827791
AminPoleni wagonjwa wote,Mungu awaponye [emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120]
[emoji120][emoji120]Poleni wakulima wote..nyie ndio uti wa mgongo wa Taifa
Wahuni hawafai[emoji23][emoji23]Wahuni utawasikia natamani ningekuwa ukuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi ukuta unasikia utamu wa hii kitu!? View attachment 1827791
Anonymous foreva aunt✌Kuna la kujifunza hapa
Kwakweli Jokate ni mtoto wa nyumbani umerudishwa utumikie kwenu.
Uzi ulianza kama utani, ngoja nirudi nikapate somoJinsi nilivyoingizwa chaka (chakike) na mwana JF baada ya kuweka Tangazo la kutafuta kazi
Habari za j3 Wana JF I hope mko poa sababu jana ilikuwa weekend. Bhasi bhana Leo ningependa kusimulia kisa fulani (tukio) ambalo lilinitokea hapa hapa jf na kwa kiasi fulani liliniingiza hasara sana na kunirudisha nyuma. Iko hivi mnamo mwaka juzi 2019 mwezi November niliweka tangazo la...www.jamiiforums.com
Mimi biringanya zangu hazikui zaidi ya hapa. Sijui ndo mbegu yenyewe au ndo kutojua misingi ya kilimo bora hata sielewi yaani...[emoji16][emoji16][emoji120][emoji120]View attachment 1827995
Wamemkalia kooni dadangu Manengelo huko wanampa za uso balaa. JF hii we acha tu [emoji16][emoji16]Uzi ulianza kama utani, ngoja nirudi nikapate somo