Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Eti unamzoea mtu mpaka unamtumia pesa sijui akutafutie kazi sijui nini. Pesa tunatuma za nauli pisi kali ije mwende Nyanda za Juu Kusini mkapunge upepo (bro Davet uko wapi?). Hata isipotokea unapiga kimya kwa sababu hata ulichokuwa unakwenda kukifanya huko ni utopolo tu na hakina faida yo yote. Mengine haya kama ulivyosema ni kujitafutia matatizo tu.Kuzoena sana na watu wa humu ni kujitafutia matatizo tu