Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuzoena sana na watu wa humu ni kujitafutia matatizo tu
Eti unamzoea mtu mpaka unamtumia pesa sijui akutafutie kazi sijui nini. Pesa tunatuma za nauli pisi kali ije mwende Nyanda za Juu Kusini mkapunge upepo (bro Davet uko wapi?). Hata isipotokea unapiga kimya kwa sababu hata ulichokuwa unakwenda kukifanya huko ni utopolo tu na hakina faida yo yote. Mengine haya kama ulivyosema ni kujitafutia matatizo tu.
 
Taarifa kuwa raia wa Afrika Kusini, Gosiame Sithole alijifungua watoto 10 mapema mwezi huu sio ya kweli. Mamlaka ya Jimbo la Guateng imesema hakuna hospitali yenye taarifa za watoto 10 kuzaliwa, na pia vipimo vimeonesha kuwa Sithole hakuwa mjamzito katika siku za karibuni.
 
Yeah! Watu wanatafuta umaarufu mitandaoni humu kwa kutumia kila aina ya mbinu...Sasa wanasema pengine ni mgonjwa wa akili. Na mumewe hajawahi kuwaona hao watoto na anaamini hawapo.
 
Watoto 10 duh! Ukizaliwa ME……. 🙏🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…