BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Una shamba zuri, ila shamba lako halina uangalizi mzuriMimi biringanya zangu hazikui zaidi ya hapa. Sijui ndo mbegu yenyewe au ndo kutojua misingi ya kilimo bora hata sielewi yaani...[emoji16][emoji16]
View attachment 1828040
...[emoji23]Na yule mwanamke wa Dodoma simuoni siku hizi, nadhani anaingia jf ki vingine, hasa baada ule uzi wake wa kujisifia, akaishia kuzodolewa na wananzengo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti unamzoea mtu mpaka unamtumia pesa sijui akutafutie kazi sijui nini. Pesa tunatuma za nauli pisi kali ije mwende Nyanda za Juu Kusini mkapunge upepo (bro Davet uko wapi?). Hata isipotokea unapiga kimya kwa sababu hata ulichokuwa unakwenda kukifanya huko ni utopolo tu na hakina faida yo yote. Mengine haya kama ulivyosema ni kujitafutia matatizo tu.
Tumepigwa changa la machoTaarifa kuwa raia wa Afrika Kusini, Gosiame Sithole alijifungua watoto 10 mapema mwezi huu sio ya kweli. Mamlaka ya Jimbo la Guateng imesema hakuna hospitali yenye taarifa za watoto 10 kuzaliwa, na pia vipimo vimeonesha kuwa Sithole hakuwa mjamzito katika siku za karibuni.
View attachment 1828059
Kabisa auntie maisha ni fumboAnonymous foreva aunt✌