antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kuepuka hilo jaribu kutumia mitishamba au mimea ya asili kwa baadhi ya magonjwa ambayo si lazima uende hospitali. Siyo mafua tu mtu ameenda kuchoma sindano!
Ngoja niwahi kabla jirani hajazima wi-fi🏃♂️Auntie mmmh duniani kuna mambo masaji kama masaji nimeiona kwa troytimetouch instagram yaan hata ukigoogle unaona aiseeee
Shindwa pepoo, shindwaa😬“Ukishajua yote hayo ndio itakuwa rahisi kuelewa ni aina ipi inamfaa lakini wengi wanahitaji ‘soft massage’ kwa ajili ya kuondoa uchovu na ikitokea ana maumivu inaweza kwenda hadi kwenye ‘medium.’
😂😂😂😂😂😂😂umeshaenda kuona😂😂😂😂😂😂😂😂Shindwa pepoo, shindwaa😬
Eeeh shangazi, mambo ya wazungu tuwaachie wenyewe😬😬😂😂😂😂😂😂😂umeshaenda kuona😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂kabisa maana tako linafinyangwa utadhan manda ya maandazi😂😂Eeeh shangazi, mambo ya wazungu tuwaachie wenyewe😬😬
inlaw mwenyewe hatoruhusu,khaa
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa maana tako linafinyangwa utadhan manda ya maandazi[emoji23][emoji23]