antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Ngoja niwahi kabla jirani hajazima wi-fiπββοΈAuntie mmmh duniani kuna mambo masaji kama masaji nimeiona kwa troytimetouch instagram yaan hata ukigoogle unaona aiseeee
Shindwa pepoo, shindwaaπ¬βUkishajua yote hayo ndio itakuwa rahisi kuelewa ni aina ipi inamfaa lakini wengi wanahitaji βsoft massageβ kwa ajili ya kuondoa uchovu na ikitokea ana maumivu inaweza kwenda hadi kwenye βmedium.β
πππππππumeshaenda kuonaππππππππShindwa pepoo, shindwaaπ¬
Eeeh shangazi, mambo ya wazungu tuwaachie wenyeweπ¬π¬πππππππumeshaenda kuonaππππππππ
πππππππkabisa maana tako linafinyangwa utadhan manda ya maandaziππEeeh shangazi, mambo ya wazungu tuwaachie wenyeweπ¬π¬
inlaw mwenyewe hatoruhusu,khaa
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa maana tako linafinyangwa utadhan manda ya maandazi[emoji23][emoji23]